Posts

Showing posts from December, 2021

Kanuni Bora za kujifunza Kiingereza cha Kuzungumza:

[1] Tafuta kitabu kizuri cha Grammar.  [2] Usiogope kuongea Kiingereza. [3] Usiogope kuandika kwa Kiingereza.  [4] Jibu maswali ya Kiingereza.  [5] Jiunge na groups za Kiingereza.  [6] Jibu/ongea/andika bila kujali kama utakosea. [7] Chati kwa Kiingereza.  [8] Jirekodi sauti kisha sikiliza  [9] Jirekodi video kisha sikiliza  [10] Jibu maswali ya ziada kuongeza mbinu za Kiingereza na Maarifa mengine.  Kachele Online Spoken English Course (KOSEC)  18-12-2021