Kanuni Bora za kujifunza Kiingereza cha Kuzungumza:
[1] Tafuta kitabu kizuri cha Grammar.
[2] Usiogope kuongea Kiingereza.
[3] Usiogope kuandika kwa Kiingereza.
[4] Jibu maswali ya Kiingereza.
[5] Jiunge na groups za Kiingereza.
[6] Jibu/ongea/andika bila kujali kama utakosea.
[7] Chati kwa Kiingereza.
[8] Jirekodi sauti kisha sikiliza
[9] Jirekodi video kisha sikiliza
[10] Jibu maswali ya ziada kuongeza mbinu za Kiingereza na Maarifa mengine.
Kachele Online Spoken English Course (KOSEC)
18-12-2021
Comments
Post a Comment